Sasa wanafanya kampeni zipi au za nini wakati wamepita bila kupingwa wenzao si wamejitoaToka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Kwani ana ndoa? Yeye na mkewe waliachana siku nyingi sana, tangu alipompa mimba mdogo wa mkewe. Usidhani wapo pamoja kama mke na mume, wako kama nembo tu ya taifa. Na mama Mara Nyerere ndiye alifanya kazi kubwa ya kuwaweka pamojaInawezekana hata mahusiano ya ndoa alifanya ubabe kuwa nayo!
Wafuasi wanaogopa kupopolewa mawe etiToka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Muulize Mwenyekiti wa chama fulani kuhusu kula kodi za Watanzania anazopewa ruzuku kila mwezi. Huyu ndo anajua kula kodi zetu vizuri.Mwanya wa kula kodi zetu, tukisema ni Chama Cha Mafisadi wanabisha
Mkuu hii ramli au bao?Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Kwanini asishtakiwe?Muulize Mwenyekiti wa chama fulani kuhusu kula kodi za Watanzania anazopewa ruzuku kila mwezi. Huyu ndo anajua kula kodi zetu vizuri.
Hakuna kitu mpaka jioni , udikteta ni aibu kuu kwa nchiMkuu bado saa 2 ndio tunaenda kanisani unataka tufanye kampeni sahizi kweli?
subiri jioni utaona uzinduzi wa kampeni maeneo mbalimbali
Si wamesema hawataki ushauri wa watu wa Darasa la saba.CCM wametuibia kwa kutupora ushindi, kisha waje tena kutupigia kelele? Waende zao huko kwa wajinga kama wao. Huku kwetu wala wasije kabisa.
Hili nalo neno kwa wapinzani.Muulize Mwenyekiti wa chama fulani kuhusu kula kodi za Watanzania anazopewa ruzuku kila mwezi. Huyu ndo anajua kula kodi zetu vizuri.
Huo ukweli kila siku wanaukimbiaHili nalo neno kwa wapinzani.
Hwataki kuambiwa huu ukweli .
Demokrasia imekufa ndani ya vyama vya upinzani.
Ndio maana wanakosa uhalali wa kujitokeza na kupinga kwa nguvu zote kila dalili ya udikteta katika nchi yetu.
Siku vyama vya upinzani vitakapoamua kuheshimu Demokrasia ndani ya vyama vyao ndipo watakapoweza kuipinga serikali ya CCM kwa kuiga udikteta kwao.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]CCM wamefanya kosa kama hiki kwenye picha. Walijifanya wajuaji kumbe nyeti zao ziko njeView attachment 1264955
Hao hawana aibu!Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
Safari hii hawatapata damu zetu za kutoa kafala wakati Wa kampeni walimwaga damu za mawazo,akwilina nk.Damu zetu zinathaman kuliko ushindi wao wa kishindo,goli liko wazi wafungeChama cha mauaji(ccm) 2020 watatumaliza tukikatae mapema. Hakuna kwenda kupiga kura hewa isiyo thaminiwa.
Mlipoambia kwamba vyama vya siasa vya upinzani kufikia 2019 vinatakiwa kuwa vimekufa unadhani alitania?Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.
Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.