Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

Tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
63,730
Reaction score
111,542
Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
 
Kwa hii technique ya CCM ya divide and rule wamefanikiwa....watatawala Kwa miaka mingi ijayo...ni tz pekee ambapo upinzani unatuhumiana wao Kwa wao...
 
Aibu kubwa sana amepata

Ndio maana wapiga propaganda wa CCM wamekuwa wapole baada ya kuona wamempotezea ramani? Zito Kabwe naye inabidi akae vizuri na Wapemba, maana akiwaudhi kitamkuta kinachomkuata Lipumba sasa. Na kama Lipumba kakosa watu hapa Dar, basi asiyegemee kupata watu huko mikoani.
 
Alishaenda 5 Star Hotel yake, Buguruni?
Lile godoro lake lingalipo pamoja na briefcase yake yenye mswaki na taulo?
 
Leo sijawasikia kabisa. Juzi tu hapa Mkutano wa Chadema ulikuwa kama wao. Leo kimyaaa!
 
Alishaenda 5 Star Hotel yake, Buguruni?
Lile godoro lake lingalipo pamoja briefcase yake yenye mswaki na taulo?

Haaa πŸ˜€, tulikuwa tunaambiwa jamaa ni mchumi mashuhuri sana duniani, sijui alikuwa mshauri wa Museveni huko Uganda! Mchumi akawekwa mfukoni na Magufuli matokeo yake kaiua CUF. Kweli njaa kitu kibaya sana.
 
Mchumi ambaya hata kubadilisha shati hawezi ni mchumi gani? Laana ile

Wachumi wa bongo wengi wamejaa nadharia, huyo Lipumba ndio walioteuliwa kwenye tume ya Mkapa ya kubinafsisha mashirika ya umma. Kuna siku mzee Mkapa aliongea kwa jazba akimwambia Lipumba alikuwa kwenye kamati ya ubinafsishaji wa mashirika ya umma, inakuwaje amshambulie. Toka siku hiyo Lipumba alikuwa mpole kuhusu kumsema Mkapa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…