Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

Kupanga ni kuchagua.......mjini hapa akili kichwani
Huna jipya boss, ww ni bendera fuata upepo tu, ukisikia jambo linasemwa na ww unarukia, lakini huna maelezo yoyote ya maana.
 
Demkorasia.......kila mtu na lake....
Povu la nini we amini unachoamini endelea na maisha yako.........hii nyumba kila mtu asepe na fito zake
 
Back
Top Bottom