Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

Nadhani walihairisha mkutano baada ya kukosa watu.
 
Kwa hii technique ya CCM ya divide and rule wamefanikiwa....watatawala Kwa miaka mingi ijayo...ni tz pekee ambapo upinzani unatuhumiana wao Kwa wao...

Chama cha upinzani Ni kimoja vingine Ni ccm. Lipumba alitumika kuiua CUF leo ana hangaika mwenyewe.
 
walamba asali wanapomchukia mwenzao
 
CCM sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ongelea vyama vya siasa sio hao Mungiki.
Sidhani kama Mwenyekiti wako Mbowe anaamini hivyo. Ebu muulize alirambishwa asali na nani? Ahahahahah!!!!
Unawaza kuolewa tu. Lipumba alivyopambana na Maalim kuiua CUF kwa kusidiwa na Magufuli mlikaa kimya, Sasa hivi ndio mnalopoka.
Sijakuzuia kugombana na Lipumba. Endeleeni kugombana. Sawa? Kama wake wenza! Ahahahahah!
 
Nadhani walihairisha mkutano baada ya kukosa watu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ CCM iligoma kuwapa watu wa kumjazia uwanja? Hawakuwa hata wameweka vyombo vya matangazo kwenye huo uwanja?
 
Kwa hii technique ya CCM ya divide and rule wamefanikiwa....watatawala Kwa miaka mingi ijayo...ni tz pekee ambapo upinzani unatuhumiana wao Kwa wao...
Upinzani makini hauwezi kukaa meza moja na chama cha akina DOVUTWA, wewe ulitakaje?
 
CCM sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ongelea vyama vya siasa sio hao Mungiki.
Vyama vya siasa vyote bongo ni mkono wa dola huku nje tunachezeshwa changamsha bwege tu.......watu na makundi yao na maslahi yao
 
Vyama vya siasa vyote bongo ni mkono wa dola huku nje tunachezeshwa changamsha bwege tu.......watu na makundi yao na maslahi yao

Ni kweli, ila mbona hiyo dola inachagua vyama vya kupiga mabomu kama vyote ni vyake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…