Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Feb 11, 2023 Thread starter #41 Naby Keita said: Kupanga ni kuchagua.......mjini hapa akili kichwani Click to expand... Huna jipya boss, ww ni bendera fuata upepo tu, ukisikia jambo linasemwa na ww unarukia, lakini huna maelezo yoyote ya maana.
Naby Keita said: Kupanga ni kuchagua.......mjini hapa akili kichwani Click to expand... Huna jipya boss, ww ni bendera fuata upepo tu, ukisikia jambo linasemwa na ww unarukia, lakini huna maelezo yoyote ya maana.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Feb 11, 2023 #42 Tindo said: Huna jipya boss, ww ni bendera fuata upepo tu, ukisikia jambo linasemwa na ww unarukia, lakini huna maelezo yoyote ya maana. Click to expand... Demkorasia.......kila mtu na lake.... Povu la nini we amini unachoamini endelea na maisha yako.........hii nyumba kila mtu asepe na fito zake
Tindo said: Huna jipya boss, ww ni bendera fuata upepo tu, ukisikia jambo linasemwa na ww unarukia, lakini huna maelezo yoyote ya maana. Click to expand... Demkorasia.......kila mtu na lake.... Povu la nini we amini unachoamini endelea na maisha yako.........hii nyumba kila mtu asepe na fito zake
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 11, 2023 #43 Hadi Magdalena Sakaya kamkimbia !
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Feb 12, 2023 #44 Lissu ni mnafki
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Feb 12, 2023 #45 Lucas mwashambwa said: Napata Raha Sana napoona wapinzani kwa wapinzani mnararuana wenyewe kwa wenyewe huku sisi CCM chama Bora Barani Afrika kikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania Click to expand... Na Sukuma Gang vs Msoga Gang nayo ni burudani tosha
Lucas mwashambwa said: Napata Raha Sana napoona wapinzani kwa wapinzani mnararuana wenyewe kwa wenyewe huku sisi CCM chama Bora Barani Afrika kikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania Click to expand... Na Sukuma Gang vs Msoga Gang nayo ni burudani tosha