Leo kijiweni : Mzee kasema mtoto akizaliwa katanguliza miguu huona wachawi

Leo kijiweni : Mzee kasema mtoto akizaliwa katanguliza miguu huona wachawi

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
955
Reaction score
1,672
Leo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya.

KUNA UKWELI?
Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa Mtu Mzima Anakuwa na Uwezo Wa Kuona WACHAWI eti Kuna Ukweli hapa.

NAOMBA KUJUA NDG WATANGULIZI
 
Una mtu anaweza kuona Virus/Bacteria bila vifaa maalumu ?
Sidhani kama kuna ukweli coz kuna mtoto alizaliwa katika hali hiyo na ameshakuwa mtu mzima sasa hivi, hajawahi kusema kuwa anatokewa na hiyo hali.
 
Pumb
Leo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya.

KUNA UKWELI?
Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa Mtu Mzima Anakuwa na Uwezo Wa Kuona WACHAWI eti Kuna Ukweli hapa.

NAOMBA KUJUA NDG WATANGULIZI
avu acheni ushirika wa kishenzi idiot
 
Hawa ndo watu tundu lissu anawapigania watu ambao bado akili zao ziko Karne ya 15 hata sio ya 19
 
Back
Top Bottom