Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
- #21
HahahahaHawa ndo watu tundu lissu anawapigania watu ambao bado akili zao ziko Karne ya 15 hata sio ya 19
Noma sana bwasheeHahha mara 100
Ah kijiwe nimehamaAfu wewe ukamwamwini?
Hahaha mimi dogo tena😅Hapana mkuu dogo hanywi wala havuti yuko sawa tu muda wote
Hahhaa muda wote handasHapana mkuu dogo hanywi wala havuti yuko sawa tu muda wote.
Unakunywa hadi unasahau jina lakoHahaha mimi dogo tena😅
Kaka pombe sio chai😅Unakunywa hadi unasahau jina lako
Mzee mwenye hekima kijiweni ndio kaongea hayo kwasisi vijana ila kuna wenye akili ndogo walipiga kelele sana.Inawezekana akawa na uwezo wa kuona uchawi au anaweze kuwa mtu ambaye harogeki (pacha)
Mdomo wangu haujawahi kuonja hata tone 1 la pombe yaani tone hapana ila glass nzima sawa ila tone mimi sijawahiKaka pombe sio chai😅
Huyo mzee naungana naeMzee mwenye hekima kijiweni ndio kaongea hayo kwasisi vijana ila kuna wenye akili ndogo walipiga kelele sana.
Alipomaliza kahawa yake alishusha kikombe chini kisha akasema "Chunguzeni sana msiwe wasikilizaji tu"
Hapo sasa tena yowe kubwaM naongea point mtu anacheka😆
Hahahaha kula bia mkuu maisha ni haya hayaMdomo wangu haujawahi kuonja hata tone 1 la pombe yaani tone hapana ila glass nzima sawa ila tone mimi sijawahi
Nitalifuatilia nijue, natafuta wazee wa umri au wakunga nitawaomba wanipe ABCDHuyo mzee naungana nae
Nakunywa sio kula mkuu hahaHahahaha kula bia mkuu maisha ni haya haya
Kula bia ina sound utamu bwasheeNakunywa sio kula mkuu haha
Kula bia ina sound utamu bwashee
Hili jambo la muhimu sana mkuuAcha nikajipongeze jioni hii