Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Sidhani kama kuna ukweli coz kuna mtoto alizaliwa katika hali hiyo na ameshakuwa mtu mzima sasa hivi, hajawahi kusema kuwa anatokewa na hiyo hali.Una mtu anaweza kuona Virus/Bacteria bila vifaa maalumu ?
Mimi siku nikiweza kuandika uzi nitasumbua sana😅😅😅Bwanamdogo siku hizi una utitiri wa nyuzi, kuna malipo unapata toka kwa mjomba Melo??
Enewei nirudi kwenye hoja yako.
Huo ni uongo na akiuona huu uzi Kiranga atakuomba uthibitishe uwepo wa wachawi.
Sasa mtoto mwenyewe ni min -me muda wote yuko monde hao wachawi atawaona muda gani??Sidhani kama kuna ukweli coz kuna mtoto alizaliwa katika hali hiyo na ameshakuwa mtu mzima sasa hivi, hajawahi kusema kuwa anatokewa na hiyo hali.
avu acheni ushirika wa kishenzi idiotLeo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya.
KUNA UKWELI?
Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa Mtu Mzima Anakuwa na Uwezo Wa Kuona WACHAWI eti Kuna Ukweli hapa.
NAOMBA KUJUA NDG WATANGULIZI
Nadhani itakuwa mzee kaamua kuwaingiza vijana ChakaSidhani kama kuna ukweli coz kuna mtoto alizaliwa katika hali hiyo na ameshakuwa mtu mzima sasa hivi, hajawahi kusema kuwa anatokewa na hiyo hali.
Sasa mtoto mwenyewe ni min -me muda wote yuko monde hao wachawi atawaona muda gani??
Umetisha Sana mkuu 😂Bwanamdogo siku hizi una utitiri wa nyuzi, kuna malipo unapata toka kwa mjomba Melo??
Enewei nirudi kwenye hoja yako.
Huo ni uongo na akiuona huu uzi Kiranga atakuomba uthibitishe uwepo wa wachawi.