Leo kijiweni : Mzee kasema mtoto akizaliwa katanguliza miguu huona wachawi

Inawezekana akawa na uwezo wa kuona uchawi au anaweze kuwa mtu ambaye harogeki (pacha)
 
Mzee mwenye hekima kijiweni ndio kaongea hayo kwasisi vijana ila kuna wenye akili ndogo walipiga kelele sana.

Alipomaliza kahawa yake alishusha kikombe chini kisha akasema "Chunguzeni sana msiwe wasikilizaji tu"
 
Huyo mzee naungana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…