Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

[emoji15] [emoji15] hee hii ndio kwaaanza nasikia Leo. .mkuu hao ni wanaume wa kabila gani?
 
Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

 
Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
That was baaad! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mm niliachwa kwasababu napenda sana pesa mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…