mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
[emoji15] [emoji15] hee hii ndio kwaaanza nasikia Leo. .mkuu hao ni wanaume wa kabila gani?Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.