Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Alikuwa anapenda sana makuu kiasi cha kunifanya niishi bila amani.Alikuwa anajua mimi nina hali gani lakini vitu alivyokuwa akitaka nimfanyie vilikuwa ni tishio kwa maisha yangu.Automatically nilijikuta natafuta amani nje ya Moghadishu...
 
Mimi msela alinichukulia alafu ni chalii wangu wa tokea utotoni asee.

Kumuuliza chalii siunajua huyu manzi ni wangu eroo? Akajibu

"Manzi kanikubali mwenyewe chalii"

Ikabidi nijikate tu alolo nikajiona fara ila manzi akaanzanga leta shobo baada ya muda nikaona huyu hajui kama mimi mkora!? nikamkata shavu kwa kumgonga rafiki yake wa karibu sana alipojua mpaka leo sijawahi kusikia pang'ang'a yoyote.
 
alikuwa anataka nimfulie chupi zake.
 
Asee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…