Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
Pole
 
Haha.! Wanawake bhana.
 
Alikazana nimtolee mahari kubwa nikamtema.
 
Machalari bila nyama ni takataka sio chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
Bila shaka hata noti xilikuwa zinasumbua, utaanzaje kumwacha mwanaume kisa kiba100?
 
Hela zilipoisha alianza kunichit na mwisho akaenda kabisa kwa jamaa mwingine na sasa ameshazaa nae mtoto mmoja na jamaa limempa maisha kinoma, fala sana yule mwanamke hajui tu moyo wangu unavoniuma pumbaff

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii inΓ choma
 
Andika kiswahili ndugu
 
1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
Mkuu sababu zingine zote uliziona baada ya sababu namba 5.
Ukishamchoka mtu unaanza kuziona kasoro zake nyingi ambazo alikuwa nazo wakati hujamchoka na haukuziona au hazikuwa tatizo kwako.

Ukitaka kuuwa mbwa au paka unamtafutia majina mabaya makusudi kuhalalisha unachotka kumtendea.
Mfano: Mbwa koko, mbwa mchafu, mbwa kichaa, paka pori, paka shume, n.k.
"Give a dog a bad name and hang it" - English Proverb. Meaning: One can always find a reason for what one wants to do.
"Qui veut noyer son chien l'accuse de la rage." - French Proverb. Meaning:He who wants to drown his dog, accuses it of having rabies(kichaa cha mbwa).

CC: Carleen njoo nifundishe kimalkia na kifaransa.
 
Mdogo wangu,
Unamaanisha kifaransa hichi hichi??? Ama cha kilugha???
Enwei,uje na notebook na kalamu yako na naamini utakwenda kupokea muujiza wako..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mdogo wangu,
Unamaanisha kifaransa hichi hichi??? Ama cha kilugha???
Enwei,uje na notebook na kalamu yako na naamini utakwenda kupokea muujiza wako..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
Miujiza tena?
Sawa mradi kusiwe na miujiza itokanayo na kukanyaga mafuta .. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
looo!mie nilimuacha alikuwa mbinafsi,mbishi kama nyama ya tako anapenda starehe balaa ila bahili mweeh!yupo tayar kukununulia pombe au kuonyesha umwamba wake mbele ya rafik zake lakin muombe hela yoyote jibu lake ni sina hela kwenye mechi kimoja chaliii analala kama ponooo halaf sifa zimemjaa kujitamba mbele ya rafiki zake eti alikuwa amenikamata nikaona isiwe tabu nikamlima block na kadi nyekundu wacha atapetape na ishapita miak 4 lakin mpaka leo haachi kunisumbua mbwa yuleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Nilichoka tabia zake kuanzia number 1, hivyo nilitokea No1 nikafika 5.
 
Mimi sijui kama tumeachana ila nahisi tumepumzika wacha nimfikirie kwa mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…