Mkuu sababu zingine zote uliziona baada ya sababu namba 5.
Ukishamchoka mtu unaanza kuziona kasoro zake nyingi ambazo alikuwa nazo wakati hujamchoka na haukuziona au hazikuwa tatizo kwako.
Ukitaka kuuwa mbwa au paka unamtafutia majina mabaya makusudi kuhalalisha unachotka kumtendea.
Mfano: Mbwa koko, mbwa mchafu, mbwa kichaa, paka pori, paka shume, n.k.
"Give a dog a bad name and hang it" - English Proverb. Meaning: One can always find a reason for what one wants to do.
"Qui veut noyer son chien l'accuse de la rage." - French Proverb. Meaning:He who wants to drown his dog, accuses it of having rabies(kichaa cha mbwa).
CC:
Carleen njoo nifundishe kimalkia na kifaransa.