Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
Pole
 
Kuna mmoja nilimpata uume wake ulikua mlaini kama sufi ukiingia ukeni ata sielewi kama kumeingia kitu. Alafu alikua na mtindo akishaingiza yote hadi ndani anatulia tu utasikia anagosha [HASHTAG]#vidole[/HASHTAG] vya mkononi au anatingisha kichwa au anabana mdomo na machoyake ujue apo anapizi....na akishapizi analala yaani mazima ufanya kumstua. Nikasema Akaaaa nikae pembeni kwanza ub...ooo soft kama hauna mishipa yaani rainiiiiiiiiii
Haha.! Wanawake bhana.
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
Machalari bila nyama ni takataka sio chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
Bila shaka hata noti xilikuwa zinasumbua, utaanzaje kumwacha mwanaume kisa kiba100?
 
Hela zilipoisha alianza kunichit na mwisho akaenda kabisa kwa jamaa mwingine na sasa ameshazaa nae mtoto mmoja na jamaa limempa maisha kinoma, fala sana yule mwanamke hajui tu moyo wangu unavoniuma pumbaff

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hii inàchoma
 
Mimi msela alinichukulia alafu ni chalii wangu wa tokea utotoni asee.

Kumuuliza chalii siunajua huyu manzi ni wangu eroo? Akajibu

"Manzi kanikubali mwenyewe chalii"

Ikabidi nijikate tu alolo nikajiona fara ila manzi akaanzanga leta shobo baada ya muda nikaona huyu hajui kama mimi mkora!? nikamkata shavu kwa kumgonga rafiki yake wa karibu sana alipojua mpaka leo sijawahi kusikia pang'ang'a yoyote.
Andika kiswahili ndugu
 
1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
Mkuu sababu zingine zote uliziona baada ya sababu namba 5.
Ukishamchoka mtu unaanza kuziona kasoro zake nyingi ambazo alikuwa nazo wakati hujamchoka na haukuziona au hazikuwa tatizo kwako.

Ukitaka kuuwa mbwa au paka unamtafutia majina mabaya makusudi kuhalalisha unachotka kumtendea.
Mfano: Mbwa koko, mbwa mchafu, mbwa kichaa, paka pori, paka shume, n.k.
"Give a dog a bad name and hang it" - English Proverb. Meaning: One can always find a reason for what one wants to do.
"Qui veut noyer son chien l'accuse de la rage." - French Proverb. Meaning:He who wants to drown his dog, accuses it of having rabies(kichaa cha mbwa).

CC: Carleen njoo nifundishe kimalkia na kifaransa.
 
Mdogo wangu,
Unamaanisha kifaransa hichi hichi??? Ama cha kilugha???
Enwei,uje na notebook na kalamu yako na naamini utakwenda kupokea muujiza wako..!! 😂 😂
 
Mdogo wangu,
Unamaanisha kifaransa hichi hichi??? Ama cha kilugha???
Enwei,uje na notebook na kalamu yako na naamini utakwenda kupokea muujiza wako..!! 😂 😂
Miujiza tena?
Sawa mradi kusiwe na miujiza itokanayo na kukanyaga mafuta .. 😂 😂
 
looo!mie nilimuacha alikuwa mbinafsi,mbishi kama nyama ya tako anapenda starehe balaa ila bahili mweeh!yupo tayar kukununulia pombe au kuonyesha umwamba wake mbele ya rafik zake lakin muombe hela yoyote jibu lake ni sina hela kwenye mechi kimoja chaliii analala kama ponooo halaf sifa zimemjaa kujitamba mbele ya rafiki zake eti alikuwa amenikamata nikaona isiwe tabu nikamlima block na kadi nyekundu wacha atapetape na ishapita miak 4 lakin mpaka leo haachi kunisumbua mbwa yule😂😂😂😂😂
 
Mkuu sababu zingine zote uliziona baada ya sababu namba 5.
Ukishamchoka mtu unaanza kuziona kasoro zake nyingi ambazo alikuwa nazo wakati hujamchoka na haukuziona au hazikuwa tatizo kwako.

Ukitaka kuuwa mbwa au paka unamtafutia majina mabaya makusudi kuhalalisha unachotka kumtendea.
Mfano: Mbwa koko, mbwa mchafu, mbwa kichaa, paka pori, paka shume, n.k.
"Give a dog a bad name and hang it" - English Proverb. Meaning: One can always find a reason for what one wants to do.
"Qui veut noyer son chien l'accuse de la rage." - French Proverb. Meaning:He who wants to drown his dog, accuses it of having rabies(kichaa cha mbwa).

CC: Carleen njoo nifundishe kimalkia na kifaransa.

Nilichoka tabia zake kuanzia number 1, hivyo nilitokea No1 nikafika 5.
 
Mimi sijui kama tumeachana ila nahisi tumepumzika wacha nimfikirie kwa mazuri
 
Back
Top Bottom