Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Aisee Kuna mwanamke ninataka kumuacha ila namuonea Huruma, Yaani yeye ndio alianzisha mada za kuachana na Mimi nikanza kutembea nazo, nikamwambia fresh tu tuachane, Cha ajabu baada ya siku moja akaanza kuniita Baby tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo ufala wa kuhudumia malaya huwa sinaga aisee
 
Bora alieleza ukweli uliopo moyoni mwake maana mwisho ni ungekuja kumuuliza kwa mizinga ya laki laki. Amejiepushia maumivu ya kuachwa akaamua akuache wewe ..which is not a bad thing tbh.

Wanaume huwa sio wabahili tukiwa na pesa ila tukiwa hatuna na jinsi wanawake mnavyo-demand pesa kwenye mahusiano ndipo mnapotuita mabahili.
 
Mchafu na kiombi mno....kila siku ana matatizo tu mpaka nikawa najiuliza huyu zwazwa alikuwa anaishije kabla ya kuwa na mimi. Nikamtosa ili awapelekee wanaume wengine matatizo yake. Mtu ana wazazi na ndugu anashindwa nini kuwaomba?
Hakuna mwanamke anakera kama omba omba aisee (except mke/mama wa nyumbani). Unakuta ndo mmeanza mahusiano utamskia , nimepata msiba kama uko poa nichangie elfu kumi ya nauli, ukimwambia sasa hv siko poa kuna mishe naiskilizia...utashangaa mfululizo wa sms, vp mbona umenidanganya?, mara mbona hujanitumia hiyo pesa? , kimya? Utanitumia saa ngapi?

Usipomtumia anakukasirikia hata kukujulia hali hataki mpk umtafute yeye...!!!

Tena unakuta daily anafanya kazi na anapata pesa.
 
Alikuwa na tonsil stones , tatizo linatibika hospitalini kiurahisi kabisa, kuna mchizi wangu alikuwa na hilo tatizo kiasi ukiongea nae unageukia pembeni, nikamfahamisha tatizo lake akaenda hospitali alitibiwa na likaisha kabisa . Now ana comfidence hata ya kuongea na wanawake
 
Mkuu alikuwa na matatizo mengine,ila hilo la ndizi ndo lilikuwa deal breaker
Tatizo huko alipolelewa washazoea tu kula ugali maharage na wali kabichi bila ya kitoweo ( nyama/samaki). Siku nyingine ungekuta kakupikia ugali na matembele huku nyama kaiacha kwenue jokofu
 
M
Mshukuru sana Mungu alikubainishia mapema kabla hujajifunga kitanzi cha maisha!!! Mwanamke mpenda pesa ni adui wa maisha ya mwanaume
 
Nyumba ulopanga ilimtisha akahisi invoice zako zitampasua kichwa [emoji23][emoji23]

Ila alikosea kuaga mashindano kabla ya kuichakata mbususu
[emoji1787][emoji1787]me naona ni bora tu alinikimbia mapema..... Sema siku hizi nkiulizwa nasema naish kwetu.... Naogopa kuachwa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mim nafanya vibiashara vyangu kakodi kangu nakalipa mwenyewe.... Yeye tu kutokujiamini

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…