Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Alikuwa anapenda sana makuu kiasi cha kunifanya niishi bila amani.Alikuwa anajua mimi nina hali gani lakini vitu alivyokuwa akitaka nimfanyie vilikuwa ni tishio kwa maisha yangu.Automatically nilijikuta natafuta amani nje ya Moghadishu...
Mmh KAma mimi
mogadishu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wa kwanza ilikuwa kila nikimwambia aje gheto anakuja na mdogo wake.

Wa pili kila mahali mkienda anataka muwe bene bene malovee mpaka hadhara ijue sie ni Ntu na Ntuye

Wa tatu alikuwa anaforce ndoa wakati nipo 1st year sijui hata maisha yatakuwaje baada ya shule

Wa nne na wa tano case zao zilikuwa sawa..
Wao kila weekend wanataka outing sasa ole wako uvunge ni ugomvi
 
pengine na wewe una bwawa la kuvulia samaki na yeye anakufichia siri

Ha ha ha kuna principle moja ya bwana Newton anasema "To every action there is equal and opposite reaction"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Duuh, mambo yalikuwa mazito aisee

Alikuwa anapenda sana makuu kiasi cha kunifanya niishi bila amani.Alikuwa anajua mimi nina hali gani lakini vitu alivyokuwa akitaka nimfanyie vilikuwa ni tishio kwa maisha yangu.Automatically nilijikuta natafuta amani nje ya Moghadishu...
 
Nimecheka sana. Hivi kwa nn hii mbinu mnaipenda? Y usimwambie tu mm sitaki mazoea na wewe[emoji12]
 
Wakwnza usaliti, anakua geto chuo na jamaake kila nikipiga simu wanasikiliza wote still likizo anadai bado ananipenda but all in all tukaachana baada ya kucomferm huo ujinga, wapili hajali chochote namimi nikajifanya sijali mambo yakaenda, watatu akajifanya mzuri mbwa haruki mkizinguana ukamdown uzalendo ukanishinda tupa kule.
N:B Wasichana wengi uzuri wa ujana huwa unawasumbua sana by 27yrs wakijastuka age inasonga ndo wanaanza kuregret mashauzi yao ya nyuma.
 
Kaniambia nasafiri sana kikazi...hawezi kuwa na mke wa dizain hiyo...kachelewa sana kuoa so anatamani kuwa na mke anayetulia nyumbani sio kila siku mishe....nikakaa pembeni
 
Pole bablai,ndo ukubwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…