Mhhhh aiseeeeAaah wapi, ukikohoa tu kinachomoka. Tunachoshana tu kila unakitafuta.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] jmn JF raha sana. Hiyo nyama ulileta mkuu? Nauliza tuManzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
Mchafu weweSababu ilikuwa niligegeda dada yake pia, hapo hakuwa na cha ziada zaidi ya kunitukana na kuniblock kila sehemu.
ulitoa pesa ya nyama sheikh?Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
Alibunjuliwa na wangapi kwa intelejensia yakoNilimuacha kwa kuwa niligundua udhaifu wake mkubwa ni kusifiwa, yaani ukimsifia tu anatoa namba na anakuwa tayari kwenda location kubunyuliwa.
Mbavu zangu mieWa kwanza ilikuwa kila nikimwambia aje gheto anakuja na mdogo wake.
Wa pili kila mahali mkienda anataka muwe bene bene malovee mpaka hadhara ijue sie ni Ntu na Ntuye
Wa tatu alikuwa anaforce ndoa wakati nipo 1st year sijui hata maisha yatakuwaje baada ya shule
Wa nne na wa tano case zao zilikuwa sawa..
Wao kila weekend wanataka outing sasa ole wako uvunge ni ugomvi
Umri plsmimi tuliachana kwa sababu nilimwambia rafiki wangu wa kiume kwamba nimemgegeda na uyo rafiki yangu akaambia wengine adi ikamfikia yeye tukashindwanaa
Una tabia mbaya kumsema mwenzako hivyoDemu Wangu mie alizidi uchafu wa sehemu za siri na alikuwa hapendi kujituma. Hapendi kufanya kazi, lazy, mbea, kila kukicha yuko facebook na Insta kujibandika mapicha wakati hana issue yeyote. Anaweza piga mswaki sasa hivi, baada ya dakika 10 huwezi ongea naye jinsi anavyotoa harufu kama vile kala mavi.
Nyama ilikuwapo ndani ya jokofu ustadh.zagazaga zote zilikuwapo.na nlishamwambia ndizi bila nyama ni mwiko.lakini akawa analeta dharau.mila na ziheshimiwe,utanpikiaje ndizi salad na mi sio vegan umeambiwa mie mkamba.ulitoa pesa ya nyama sheikh?
Ati wanasemaga mngoni mpe pesa atazifikisha lakini sio nke.Tulitofautiana kabila,yeye mchag n a mie mngoni
hukumuonya mkuu?Nyama ilikuwapo ndani ya jokofu ustadh.zagazaga zote zilikuwapo.na nlishamwambia ndizi bila nyama ni mwiko.lakini akawa analeta dharau.mila na ziheshimiwe,utanpikiaje ndizi salad na mi sio vegan umeambiwa mie mkamba.
Hivi hizi tabia za kutoka kwenu unaenda mpikia mwanaume ambae sio mume wako kwa wkt huo zimetoka wapi? Sasa hotelin nan atanunua? Achen hizo bhana hata huko hotelin wanataka watejaNyama ilikuwapo ndani ya jokofu ustadh.zagazaga zote zilikuwapo.na nlishamwambia ndizi bila nyama ni mwiko.lakini akawa analeta dharau.mila na ziheshimiwe,utanpikiaje ndizi salad na mi sio vegan umeambiwa mie mkamba.
Mkuu alikuwa na matatizo mengine,ila hilo la ndizi ndo lilikuwa deal breakerhukumuonya mkuu?
MonileTulitofautiana kabila,yeye mchag n a mie mngoni