Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Mna bahati nyie mi sijawah achana ndo tunaishi mpka kifo kitutenge
 
Utulivu wake ulikuwa ziro,kidogo tu kishachepuka unasamehe mnaendelea anachepuka Tena nikaona hapa hamna future nitachapiwa mpaka kwenye ndoa nikatupa kule.
Sisi vibamia tunajituma balaa hatuchapiwi ng'ooo
 
Ukosefu wa Hela/pesa mwilini ndo uliopelekea nikaachana na mpenzi wangu.
 
Asee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
[emoji1] [emoji13] [emoji1] [emoji2] [emoji125] [emoji1] [emoji2]
 
Back
Top Bottom