Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Nilimkuta anagegedwa live bila chenga.Sikuongea neno nikaondoka.Mpaka leo hajui nipo wapi na juhudi zake za kunipigia simu yeye na dada zake ziligonga mwamba.Ni miaka nane sasa tangu siku hiyo.
Ungejiunga hapo mpige threesome matata
 
Baada ya kwenda UDSM mchumba wangu akawa popo mbaya zaidi sikupata hata nafasi ya kumvua Pete yangu ya uchumba gold ring ya 350000 enzi hizo miaka ya 2006,hadi bado nampenda sana sema alishakuwa mtu maarufu na ameolewa na mtu maarufu,wazazi wananiambiaga hakuwa riziki yangu na pengine hasingekuwa mke mwema
 
Baada ya kwenda UDSM mchumba wangu akawa popo mbaya zaidi sikupata hata nafasi ya kumvua Pete yangu ya uchumba gold ring ya 350000 enzi hizo miaka ya 2006,hadi bado nampenda sana sema alishakuwa mtu maarufu na ameolewa na mtu maarufu,wazazi wananiambiaga hakuwa riziki yangu na pengine hasingekuwa mke mwema
Ww unateseka mpk sasa, mwenzako anakula Raha atakavyo. Pengine ata kukukumbuka hakukumbuki. Penda kwengine maisha yaendelee, hakuna aja ya kumuwaza mtu ukaumia moyo.
 
Aisee nadhani hii SOFTWARE ya kuacha na kuachwa sikuekewa.
Madem zangu wote tunawasiliana na kupeana kawaida tuu!

Nikija kwenye swala la ndoa ndo naanzaga kutafuta scholarship

Hii software siipend sanaa
Mm nakaa na vipimo vya ukimwi tu aiseee hatuachan as long as u a safe
 
yn tulikua na kawaida tukigombana tunanuniana ...km wiki hlf tunatafutana tunasameheana...cku iyo tukanuniana na hakuna aliyemtafuta mwenzake ni mwaka sasa....ilikua mwaka jana mwez wa 4
Safari hiyo, gap uliloliacha Kuna mtu akachukua points 3
 
Unaweza kumfulia mpaka za akiwa kwenye siku zake lakini kura zisitoshe,yaani uchaguzi ukirudiwa jina lako halirudi,huwa najiuliza sijui wanawake waliongeaga nini tuu na nyoka kule Edeni.
 
Kibamia sio tatizo labda hajui jinsi ya kukitumia,kuwa na vidole vitano haitoshi kukuwezesha kupiga gitaa mtu anaweza kupiga gitaa kwa kidole kimoja ni ujuzi tuu.

Sawa ye anakibamia na wewe ndugu yetu vipi?Isijekuwa labda umebarikiwa shimo la mdako.
 
Nmeachana nae mwaka jana.
1. Amelewa malezi mabovu sana.
2. Kauli mbovu
3. Anapenda hela sana
4. Anataka kuwa na maamuzi kama mwanaume.
5. Hajui kusema ahsante, samahani
6. Alihitimu chuo udom 2019 lakini ni kama mhitimu wa darasa la saba. Kipindi nakutana nae, nilimwambia anipe tarehe zake akasema yeye huwa anafanya hivyo hivyo tu mwisho wa siku akajaa tumbo, kimbembe kilianzia hapo... Akasema kwaoet nilitaka kumuua,, ilihali mm nilimzuia kutoa mimba mpaka nikamdanganya nitamtafutia dawa mpaka akajifungua.
7. Ni hajawahi kufokewa wala kukemewa toka utoto wake
8. Ni mgonjwa wa kutotibika. Nilimpenda tu coz niliamin hiyo issue ni ndog tu lakin duu..hapana.
9. Alipokuwa na mimba alitaka dela ya 160,000/_ hapa ndiponilipoelewa huyu dada ni mjinga.
10. Alipojifungua mtoto waling'ang'ania licha ya kutoa hela ya kujifungua na baadhi ya matumizi. MOLA ATASHUGHULIKA NAO.
niliamua kukaa kimya toka siku hiyo coz ilikuwa kila tukiongea lazima tugombane mpaka leo hii nilishafuta na namba nikasema, HUYO MTOTO ACHA AISHI NAE MPAKA KIFO KITAKAPO WATENGANISHA.
 
Mama yake alikuwa mbea mtaa mzima kila jambo tunalofanya na binti yake anaenda kusimulia kwa rafike zake, siku moja rafiki zake na huyo mama akanikalisha akanisimulia A to Z anayosema mama mkwe.

Aisee! Siku hiyo hiyo tukaachana, nikatafuta binti mwingine nikaoa, huyo mama akaanza kuniendea kwa waganga. Ya kusimulia ni mengi ngoja niishie hapa
 
Back
Top Bottom