Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Haaaaa Haaaaa pole aisee.,jamaa yako urafiki nao uliisha?Mimi msela alinichukulia alafu ni chalii wangu wa tokea utotoni asee.
Kumuuliza chalii siunajua huyu manzi ni wangu eroo? Akajibu
"Manzi kanikubali mwenyewe chalii"
Ikabidi nijikate tu alolo nikajiona fara ila manzi akaanzanga leta shobo baada ya muda nikaona huyu hajui kama mimi mkora!? nikamkata shavu kwa kumgonga rafiki yake wa karibu sana alipojua mpaka leo sijawahi kusikia pang'ang'a yoyote.