Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .

Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.

Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.

Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
 
Kisa nini?

Kwani tunalazimishwa kusoma threads za watu? Si kuna ignore etc

Kuna wengi wapo zaidi ya huyo.. Kwa yao mengi.

JF ni ya uhuru.. Navyojua mtu hupendi mada unasonga kimyaaaa... Hatuwezi kuwa sawa humu na tunayotaka yawe hata kama yanakugusa moja kwa moja.

Huu uzi unaharibu mengi humu, Maxence Melo naomba utufafanulie kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…