Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .

Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.

Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.

Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
Kwani mwana-JamiiForums akiwachukia mapunga na machoko kinawauma nini hao mamode?

Na mboni kama umefurahi sana jamaa kulimwa BAN,au wewe ndiye huyo mode au na wewe ni mmoja wa aliokuwa jamaa anakuhisi mtoto siyo mtoto chakla?
 
Kwani mwana-JamiiForums akiwachukia mapunga na machoko kinawauma nini hao mamode?

Na mboni kama umefurahi sana jamaa kulimwa BAN,au wewe ndiye huyo mode au na wewe ni mmoja wa aliokuwa jamaa anakuhisi siyo mtoto chakla?

Ukiacha ubabe kwa watu wengine hao mapunga yeye awakatae lakini siyo kuwatukana watu wote ambao wanapingana naye. Mods wanajua kwa nini wanamemfungia na kuna uzi umeandikwa kuusu kufungiwa chzi maarifa . Ao mapunga ni jamii ya watu wazito sana ukiwachukia wanakutaka a na ukibisha unafungiwa. Mi nimeandika kwa umakini tu nisije fungiwa wao wameelewa ndo maana wanasema iii ni id nyingne ya chiizi maarifa
 
Siwezi bishana au tukanana na wewe utajuwa na akili finyu kissma nawatetea machoko napinga chizi maarifa kuwa mbabe
Wapi nmekutukana mzee? Usinilishe maneno ambayo sijayasema.

Ww ndo unaonekana unatetea hao mashoga ndo mana wengi humu wanashangaa inakuaje unawatetea kama ww sio mmoja wao.
 
Ukiacha ubabe kwa watu wengine hao mapunga yeye awakatae lakini siyo kuwatukana watu wote ambao wanapingana naye. Mods wanajua kwa nini wanamemfungia na kuna uzi umeandikwa kuusu kufungiwa chzi maarifa . Ao mapunga ni jamii ya watu wazito sana ukiwachukia wanakutaka a na ukibisha unafungiwa. Mi nimeandika kwa umakini tu nisije fungiwa wao wameelewa ndo maana wanasema iii ni id nyingne ya chiizi maarifa
Hao mashoga wakitukanwa, ww inakuuma nn
 
Kwani mwana-JamiiForums akiwachukia mapunga na machoko kinawauma nini hao mamode?

Na mboni kama umefurahi sana jamaa kulimwa BAN,au wewe ndiye huyo mode au na wewe ni mmoja wa aliokuwa jamaa anakuhisi siyo mtoto chakla?
Jamaa anaumia sana kuona wenzake wakitukanwa na kusemwa 😂
 
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .

Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.

Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.

Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
Anatendea haki jina lake
 
Uliingiaje kwenye maugomvi, id yako nilikua naiona ya kistaarabu sana
Huyo jamaa na IDs zake anajiamulia tu kuvamia watu na kuanza kuzitumia ndivyo sivyo ikiwamo na kuzifananisha na viungo vya uzazi vya kike.

Na ukionesha kuchukizwa na upumbavu wake anakuunganisha na wewe hata kama ujamkosea.

Muda mwingine ustarabu unauweka pembeni unamuwashia moto.
 
Wapi nmekutukana mzee? Usinilishe maneno ambayo sijayasema.

Ww ndo unaonekana unatetea hao mashoga ndo mana wengi humu wanashangaa inakuaje unawatetea kama ww sio mmoja wao.
Nmemaliza. Sitoweza tukanana nawe nashukuru kwa matusi yako sheikh yangu
 
We Chizi Maarifa ujatosheka na ban uliyopewa?

Na rutahakikisha parody zako zote ikiwemo hii zinakuwa merged.
Nyie mpo wengi sana ndo mmesababisha chz afungiwe? Mna umkja sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona nimekugusa seemu mbaya sana una hsila ya nini? Mimi nipe ids zote sawa tu ila matusi sasa hutopata kwangu maana kama umelelea ivo usilazimishe na wengine nao wae ivo. Sisi wanaume kamili hatuwi ivo
Payge Bridger BlackBold Active uyu member ni kama ana tatizo la kisaikolojia anaoenda kuvamia watu na matusi
Nioneshe tusi hapo ww taahira

Donat= andaz leny tobo kati
Mtalimbo= Ni nguzo

Aya onesha tusi hapo
 
Back
Top Bottom