Hili jamaa Minjingu Jingu ni kundi moja , yeye kutwa nyuzi za kumsifia chizi Maarifa kama chawa na siku zote uchawa ukizidi lazima Diara atoke goliniWapi nmekutukana mzee? Usinilishe maneno ambayo sijayasema.
Ww ndo unaonekana unatetea hao mashoga ndo mana wengi humu wanashangaa inakuaje unawatetea kama ww sio mmoja wao.
Sio kufungiwa tu na bado IDs zake kuunganishwa , uzuri na wewe ushakiri kuwa una IDs 20 , tushakuweka kundi moja tunakukia timing tuNyie mpo wengi sana ndo mmesababisha chz afungiwe? Mna umkja sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KabisaHumu mna watu wapo serious sana na mitandao,kama huyu yupo hapa anashangilia mwenzake kuwa banned ajabu hata hajui anafananaje!
Pumba tupu.Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.
Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.
Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
Nimelinasa linajifanya chawa la Chizi Maarifa , anajifanya mstaarabu sana kumbe msitu mpya Nyani yule yule . Tulia dawa ikuingie wewe Minjingu Jingu acha kutufanya sisi watoto wadogo tumekustukia .
🔥 Msako wa Nyani unaendelea, Maarass!!!
Haya mpigie tena na Leo simu Chizi Maarifa uumpe salamu zangu , mwambie popote alipo atasakwa tu
View attachment 3631892
View attachment 3631893
Atakuwa bwana wake anaempaka mafuta ya P DidyNi nani huyo maana umeelezea kama wote tunamjua
Kwamba kuna watu wana marafiki jf🥴Mimi nampenda mbona?unavyosema hana rafiki humu unamaanisha nini?
Hata uje na ID mia, umeshtukiwa wewe ndio punga humu,Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.
Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.
Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
Mwamba atarudi sio muda, kala hasara ya email ban tu huyoNmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa amekuwa na maadui wengi na hasa tabia yake ya kuwachukia mapunga na anaoita machoko.
Ukiacha hilo pia amekuwa tu ni mkorofi na asiye na rafiki humu ndani. Jamaa sijui ni mabangi? Huwa hajali mtu na amekuwa hana woga kuandika anachotaka. Kawanyanyasa wengi sana humu na kuwatendea vitendo vya kikatili.
Mara nyingi namsoma jinsi ambavyo anawatendea watu matendo ya kinyume na kawaida. Hatimaye ametiwa kapuni. Jamaa ameua watu wengi sana humu katika IDs zao. Huyu ni Gaidi na Serikali ilipaswa imkamate kabisa. Huyu asitolewe kifungoni asilani maana duuuuuu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yetu
Umeona eeh!Beka anamponda Bakari.