Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Eric Choupo Moting yupo kwenye timu kubwa lakini uwezo mdogo.
 
Fact wanampoteza sana ZUCHU pale ndo kichwa cha mashairi Tanzania nzima[emoji3514][emoji3514][emoji3514]
 
Vijana wa kiume siku hizi mnatuangusha sana,unakuta janaume zima linaimba sukari nailamba......kweli? Hata kujiuliza maudhui ya wimbo hamreason.........aibu sana,wanaume tumebaki wachache sana
Wamekusikia mkuu kunywa maji upoze koo ilo
 
Kigoma independent sifa zetu wanakigoma mnazijua show show bonge sawa kapunguze mwili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…