Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Mie hizo comments tyuuh, niko hoi lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unavyo sema nandi hamna kitu sijui tumepigwa utafikiri labda ulitoa sehemu ya udhamini. Nilisoma sehemu nandy ametumia zaidi ya 70million kwa huu wimbo tu,
Kama wimbo ni mbaya platforms zitaamua zenyewe, wabongo tuache roho mbaya Nandy anaishi maisha mazuri kwaajili ya mziki, au ulitaka awe Fundi cherehani,na tunaopenda mziki mzuri hatuchagui wanamziki
 
Eyce nilikuambia mdogo wangu..!
 
True ni mmbaya wala hauleweki hata mimi siuelewi kama hajui amefanya tokonyonyo mara watu wanapiga makelele huyo producer hajitambui pia ni mvuta bangi mzuri katengeneza nini sasa .
 
Tatizo anataka kushindana na SIMBA wapi na wapi? ebu shindana na wanawake wenzio mama. When you fight fire with fire someone is going to get burned
 
Sawa lokole ..
 
Zuchu ni mwimbaji mwenye sauti nzuri ya kuvutia ila :-

Hebu naomba unijibu maswali mawili tu:

Zuchu ameinvest wapi mpaka ukamwita Investor?

Zuchu ana profession ipi ya hizo lugha mbili mpaka umwite proficiency?
Ameinvest kwenye mziki na return inaonekana na pia kwenye uongeaji wake unaonekana sawa kijana wangu
 
Endelea kukaza fuvu unazania 70m ni matako Kila mtu anayo...? Platform gani kaangalie SUKARI afu uje ushadadie hiyo utopolo ya nandy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…