Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Hao ndio wafuasi halisi wa CCMIngekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.
Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
View attachment 3459948
View attachment 3459952
View attachment 3459956
View attachment 3459960
View attachment 3459964
View attachment 3459966
Wauwanjani wameletwa na mabasiWatasema wote wapo uwanjani.
Kwani dhambi?Kumbe mnafuatilia...
Gharama ya upuuzi wowote sharti ulipiweIngekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.
Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
View attachment 3459948
View attachment 3459952
View attachment 3459956
View attachment 3459960
View attachment 3459964
View attachment 3459966
Mara nyingi wanaofuatilia upinzani hawana alternative lazima kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Habari za ccm zinarushwa kwenye TV ambako mtazamaji halipi. Upinzani una mashabiki wengi ambao si loyal. CCM inasafirisha watu kwa sababu inao na inajua wanapoishi.Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.
Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
View attachment 3459948
View attachment 3459952
View attachment 3459956
View attachment 3459960
View attachment 3459964
View attachment 3459966
Mtu makini na timamu hawezi kujishughurisha na huo usanii wa uchaguzi uliokosa uhalaliIngekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.