JamiiForums watupazie sauti, hii ishu itakua endelevu na hawatafidia chochoteHata Mara moja tu wangesikia tatizo kiburi
Wabongo bhana 🙌Aisee leo nimechukia vibaya sana Kwa miaka zaidi ya 7 natumia voda ila leo nimevunja mpaka line yao, walichofanya wamenitia hasara aisee nina hasira mpaka sasa
Tuko pamoja bichwa, mi mwenyewe wanikome kabisaHalafu nyie Vodacom Tanzania habari za kuniunga kwenye viprogramu uchwara sitaki kabisa vinginevyo ntawashtaki mahakama kuu.
Mara unashtuka umeshaunganishwa kwenye kadude gani sijui, unaambiwa utakatwa shilingi mia kila siku, HIVI MNA KICHAA?
Tuheshimiane sana, sina pesa za mchezo!!!! Nikija huko ofisini kwenu ndo mtanitambua labda polisi waingilie kati kudadeki zenyu. NTAWAVAA JUMLA JUMLA.
Sitaki kuungwa kwenye viprogramu uchwara. Ole wenu!!!
Acha uongoo taratibu taratibuuuuu utqpigwa na wale walinzi hadi ukumbuke kitovu chako ulikatiwa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣 shauri yako utatundu lissuHalafu nyie Vodacom Tanzania habari za kuniunga kwenye viprogramu vyenu uchwara sitaki kabisa vinginevyo nitawaburuza MAHAKAMANI muda sio mrefu.