Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
- Thread starter
- #21
Wanachojua ni kutengeneza stream za kutupiga tuu. Kero zao kutatua wanaona shida. Mimi huyo CEO ningekutana nae saa iz ningemtukanaHalafu nyie Vodacom Tanzania habari za kuniunga kwenye viprogramu vyenu uchwara sitaki kabisa vinginevyo nitawaburuza MAHAKAMANI muda sio mrefu.
Mara unashtuka umeshaunganishwa kwenye kadude gani sijui, unaambiwa utakatwa shilingi mia kila siku, HIVI MNA KICHAA?
Tuheshimiane sana, sina pesa za mchezo!!!! Nikija huko ofisini kwenu ndo mtanitambua labda polisi waingilie kati kudadeki zenyu. NTAWAVAA JUMLA JUMLA.
Sitaki kuungwa kwenye viprogramu uchwara. Ole wenu!!!