Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukuwa hewani

Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukuwa hewani

Naona bado wana tushtua shtua
Unajua calculation ni simple
Km hawawez kurefund, wange extend muda wa bundles. Kuh transaction wangetoa ata bonus au wangetumia namna tuu kupunguza loss sio kugharamia loss yote
 
Cc: Vodacom Tanzania
The leading cellular Network 🤣🤣🤣
Mbonamekuwa tia maji tia maji halafu nashangaa jamaa yupo UK nachat naye hapa anasema amenitumia hela namwambia sijaona ujumbe. Mkiwa na marekebisho muwe mnatoa taarifa basi mnatukosea nimekuwa Mteja wenu tangu 2008 mpo Ohio na pale PPF TOWERS na niliamua kutafuta line nyingine ya Vodacom baada ya kuona Tigo nao ndio walewale tu. Messages za tuma kwa hii namba zilinikimbiza tigo
Sijui tutakimbilia wapi. Voda inakuwa mtandao wa ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom