Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wanatest mitambo kwa matumizi ya baadaeKwema?
Leo majira ya saa 1 jioni hadi majira ya saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukua hewani.
Ukipiga simu hazitoki, ukituma sms haziendi na Data haifanyi kazi.
Hii sii mara ya kwanza kwani Sept 28 walikua hivi hivi.
Waliahidi wanarudisha mabando yetu hawajarudisha mpaka leo.
Je, Vodacom mnatutania na pesa zetu?
Huu mtandao sio kabisa, na TCRA nawaomba wafuatilie watupe mrejesho
Malalamiko ni mengi na majibu yao ni simple tu.
Mfano👇
View attachment 3125129