Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukuwa hewani

Wanachojua ni kutengeneza stream za kutupiga tuu. Kero zao kutatua wanaona shida. Mimi huyo CEO ningekutana nae saa iz ningemtukana
 
Nawewe mitandao imejaa kazi kulia lia kama mama kakunyima nyonyoo .
Mweh . Au umekaririshwa ulipotoka kijijini
 
Dawa ni kuwa na ka line kako active kanunulie bando lisilo na kikomo, kuna jambo nikilikamilisha voda hawataniona tena mbuzi hao
Mazoea mabaya mkuu, line yangu ina zaidi ya miaka 15 na ndo imezoeleka miamala yote nafanyia umo. Kwahyo kubadil ghafla inakua sio rahis. Lkn ntawahama
 
😀😀mkuu unaeza shangaa muamala umerudi kwa alietuma. Last time ilikua ivo
 
Vodacom wanahujumu biashara za watu kwa kukata network bila kutoa taarifa zozote na siyo mara moja.
Ni muda wa kutafuta sehemu ya kuhamia maana hata miamala ya fedha sikuhizi inasumbua unaweza kutuma pesa wakakwambia imekwama hewani wanakurudishia baada ya masaa 24 tayari mipango yako imeshakwama
 
Wangekua wanafidia hata kidogo ingekua uhakika. Wao wanajibu kifupi tuu wanaomba radhi. Inasaidia nn sasa
 
Hilj naunga mkono, nimepata shida sana jioni hii kwa sisi tunaotegemea Internet service kutoka voda na maeneo tuliyopo ni unaccessible kwq mitandao mingine basi ni karaha kwakweli
 
Maphalla sana voda, wamezuia miamala yamngu...mbwa nyie
 
Tuko pamoja bichwa, mi mwenyewe wanikome kabisa
Bi mkubwa kila siku ananipigia simu analalamika anashangaa hela zake zinakatwa kwenye simu na hajakopa popote, kumbe hawa MAJIZI Vodacom Tanzania wamemuunganisha kwenye makorokocho yao bila idhini yake.

Watu wasio na ujuzi wa kuchezea chezea simu wanapigwa sana wanashindwa kuelewa.

Hawa MAJIZI nina usongo nao mbaya sana, kwanza wameniibia sana MAOKOTO YANGU YA MPESA na Bando zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…