Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukuwa hewani

Naona bado wana tushtua shtua
Unajua calculation ni simple
Km hawawez kurefund, wange extend muda wa bundles. Kuh transaction wangetoa ata bonus au wangetumia namna tuu kupunguza loss sio kugharamia loss yote
 
Sijui tutakimbilia wapi. Voda inakuwa mtandao wa ovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…