Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukuwa hewani

Wanatest mitambo kwa matumizi ya baadae
 
Wamenigombanisha na mke wangu mbwa hawa. Mke wangu alikua anatuma sms nikijibu haziendi, akadhani nampotezea. Mimi nikadhani nimeishiwa bundle langu la sms la mwezi. Nikaamua kumpigia, napiga simu nazo hazitoki. Babe wangu akajiongeza akanipigia, ikabidi nimweleze hali halisi, kumbuka nimechelewa kurudi nyumbani.

Voda mlitaka kunivunjia ndoa yangu na mliniweka hatarini. Mbwa nyie.
 
Vodacom wapuuzi watu tumechoma account zetu Forex kwa ujinga wa kukata Internet 🤣! Lazma watulipe pumbavu zao
Ile siku ya Sept 28 mimi nilipagawa kabisa. Kwenye nilikua kwenye train ya SGR nikahisi labda network njiani. Lakini kutokea Kibaha Soga mpaka Dar network huwa ipo. Kumbe wameshapoteza net wangese sana hawa jamaa.
 
Pole Pole nimeanza kuwajulisha contacts wangu. Nahama voda.
 
Wana vingi vya kufidia🙌
 
Ile siku ya Sept 28 mimi nilipagawa kabisa. Kwenye nilikua kwenye train ya SGR nikahisi labda network njiani. Lakini kutokea Kibaha Soga mpaka Dar network huwa ipo. Kumbe wameshapoteza net wangese sana hawa jamaa.
Alaf hawakufidia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…