Leo Mayele ameonesha ukubwa wake kwenye mechi dhidi ya Mauritania

Kwa hiyo hajacheza?
 
Kapike daku πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mayele, kabadilisha mengi kwenye ligi yetu...
Kila mchezaji sasa anatafuta, style yake ya ushangiliaji.
Kila mfungaji, anakamia afunge magoli mengi.
Mayele tutamjengea sanamu lake 😎
 
Mpk dkk ya 80...
Tena sio kocha ni mashabiki...
 
Hapa tunajadili nini. Nakuuliza mara ya 2. Jibu swali badala ya kuonyesha upumbavu wako. Mbo a nyinyi watu mnakuwa wapuuzi kiasi hiki. Badala ya kujibu swali langu unaleta kejeli.Stop your nonsense adress the subject matter
Hivi humu wakiitwa wapumbavu wawili wewe utakosena kweli?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kapike daku πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mkiambiwa ni mbumbumbu sukuma reli ndiyo hivi.
Kwanza mimi si wa huko kwa kupika daku.
PIli wewe huna mamalaka ya kunipangia mimi chochote,katika maisha yangu.
 
Nasikia kagusa mpira mara moja tu
 
Reactions: BRN
Nikajua kafunga hat-trick, kumbe kaimbiwa nyimbo?
Hata mwanangu kaimbiwa nyimbo leo na mtaa mzima kwenye party yake ya siku ya kuzaliwa
 
Reactions: 7ve
Nikajua kafunga hat-trick, kumbe kaimbiwa nyimbo?
Hata mwanangu kaimbiwa nyimbo leo na mtaa mzima kwenye party yake ya siku ya kuzaliwa
Hehehe mi mwenyewe nikajua labda kapiga 3 kama za chama kumbe mashabiki wame imbaa kama maandamano ya odinga kuomba bei ya unga kushuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…