Leo Mayele ameonesha ukubwa wake kwenye mechi dhidi ya Mauritania

Hapo tu hajafunga Goli unatupigia hivi Kelele je, angefunga si ndiyo Ungetujambia hapa kabisa?
 

Kafunga magoli mangapi?
 
Nasikia licha ya kuingia lakini hakugusa mpira hata mara moja
 
Reactions: BRN
Hapa tunajadili nini. Nakuuliza mara ya 2. Jibu swali badala ya kuonyesha upumbavu wako. Mbo a nyinyi watu mnakuwa wapuuzi kiasi hiki. Badala ya kujibu swali langu unaleta kejeli.Stop your nonsense adress the subject matter
Kama umeshindwa kuelewa uzi huo ni Ujinga wako unataka uambiwe tena yunajadili Nini?? Huo ndio u non sense kama hukuelewa uzi si ungekaa Kimya hili sio Darasa soma uzi kama huelewi kaa kimya.
 
Alistahiri kuwa MVP mwaka Jana ila usimba na uyanga ukamkatili. Hata magoli yake halali baadhi yakawa yanakataliwa.
 
Makolo FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC watabisha.
 
Mayele, kabadilisha mengi kwenye ligi yetu...
Kila mchezaji sasa anatafuta, style yake ya ushangiliaji.
Kila mfungaji, anakamia afunge magoli mengi.
Mayele tutamjengea sanamu lake 😎
Hili ni muhimu sana.
 
Umeandika mengi ukweli. Lakini kuandika kwamba ligi ya Tanzania ilikuwa dhaifu kabla Mayele hajaja ni uzuzu-baridi!
 
Nilifikir labda katupia kumbe ni ujinga tu unasifia, hiz ni tabia za watu wa upinde kumsifia mwanaume mwenzio pasipo na sababu.
 
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele.
Kilichotokea sasa baada ya kuingia! πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hajagusa bolu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…