Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tu hajafunga Goli unatupigia hivi Kelele je, angefunga si ndiyo Ungetujambia hapa kabisa?Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
Mayele ni kama maji usipoyaoga utakunywa
Hapa tunajadili nini
"Tunamtaka Fiston Kalala Mayele" walisikika wakiimbaWe mwehu kweli, mayele kaingia dakika ya 88, kafanya nn ss dakika 2 hizo? Pumbavu kweli wewe
AahahahaaWe mbona umekimbia uzi wako kule..... Basi wewe ndo utakua baba wa mapunguani...... Punguani fresh
Kama umeshindwa kuelewa uzi huo ni Ujinga wako unataka uambiwe tena yunajadili Nini?? Huo ndio u non sense kama hukuelewa uzi si ungekaa Kimya hili sio Darasa soma uzi kama huelewi kaa kimya.Hapa tunajadili nini. Nakuuliza mara ya 2. Jibu swali badala ya kuonyesha upumbavu wako. Mbo a nyinyi watu mnakuwa wapuuzi kiasi hiki. Badala ya kujibu swali langu unaleta kejeli.Stop your nonsense adress the subject matter
Alistahiri kuwa MVP mwaka Jana ila usimba na uyanga ukamkatili. Hata magoli yake halali baadhi yakawa yanakataliwa.Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
Nasikia Jana umebakwa.Nasikia licha ya kuingia lakini hakugusa mpira hata mara moja
Makolo FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC watabisha.Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
Hili ni muhimu sana.Mayele, kabadilisha mengi kwenye ligi yetu...
Kila mchezaji sasa anatafuta, style yake ya ushangiliaji.
Kila mfungaji, anakamia afunge magoli mengi.
Mayele tutamjengea sanamu lake 😎
Umeandika mengi ukweli. Lakini kuandika kwamba ligi ya Tanzania ilikuwa dhaifu kabla Mayele hajaja ni uzuzu-baridi!Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
Nilifikir labda katupia kumbe ni ujinga tu unasifia, hiz ni tabia za watu wa upinde kumsifia mwanaume mwenzio pasipo na sababu.Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa
Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele
Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana
Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele
Mayele ni bendera ya League yetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunajadili hasara...... Tunataka tubandike tangazo la mo passion hadi makalioni tuongeze faida
Kilichotokea sasa baada ya kuingia! 😀😀 😀Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele.