Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

Kwa hiyo case yako utaipata. Kuna mmoja alishawahi kunichezeshea hivyo. Ila mwishoni benki walinisaidia nikaipata japo haikuwa amount kama hiyo ilikuwa chini ya million
 
Kwa hiyo case yako utaipata. Kuna mmoja alishawahi kunichezeshea hivyo. Ila mwishoni benki walinisaidia nikaipata japo haikuwa amount kama hiyo ilikuwa chini ya million
Namimi kwasasa nadeal na bank wajue wananipaje changu kama waliwapa mashine za mawakala Hadi matapeli watajua wao
 
SITOKUJA KUTOA PESA TENA KWA WAKALA WA BANK, USUMBUFU NINAOUPATA SIO WA KAWAIDA
 
Maandiko matakatifu yanasema

Mkumbuke mola wako nyakati za ujana wako

Sasa yeye kasubili mpaka aibiwe

Nyakati za ujana wako ni nini ni nyakati ambazo uko vizuri, usisubiri ufukuzwe kazi ndo uaanze kwenda kanisan
 
Usenge Sana, na nisipopata hii pesa natoa hela zangu zote naweka ndan usenge huu
Me kuna masuala hayo ya benk yalinishinda asee kwanza nikaja kugundua benki waachiwe matajiri na makampuni ila sisi uchumi wa kati benk sio salama kwetu, Kwanza hela zangu alafu unanisumbua nazo😁 Yaani kuna siku walinikwaza sana hawa jamaa ndipo nikagundua hata hela zangu yawezekana hazipo salama, Nikawithdraw zote kwa hasira hadi leo mambo ya benk sina tym nayo natembea tu na card empty labda siku wanaweza kukosea wakaniwekeamo kimuamala nikitoe fasta.
 
Pesa yangu nmeipata Kwa Msaada CRDB bank, Kwa wakala sitoi tena pesa nmejifunza kitu, ningezubaa kidogo tuu wakala angenipiga
 
Back
Top Bottom