KERO Leo mjini foleni balaaa

KERO Leo mjini foleni balaaa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bolt kuna gari, kuna boda boda, kuna bajaj, ni uchaguzi wako unataka kipi kwenye app ya bolt. Na ni cheap tu kurequst bodaboda kupitia bolt maana huna haja ya kuanza bishana bei na dereva boda
Hapo kwenye bei ndio napoipendea bolt, mimi huwa naangalia gharama kwenye bolt alafu nachukua boda kawaida kama ipo karibu, akishindwa bei narequest chap.
 
Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei..

Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
Watu wa Dar buana. Malalamiko kila siku foleni barabarani mkifika kazini mmeshachoka tayari. Kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 5 usiku. Halafu kuna watu bado wanatamani wafanye kazi Dar.
 
Back
Top Bottom