KERO Leo mjini foleni balaaa

KERO Leo mjini foleni balaaa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ila Jf, kwahiyo watu hawajui kama app ya bolt Ina option ya pikipiki aloo🤣🤣
 
Asante kwa taarifa, ngoja nikanunue baiskeli.
Utaiendeshea wap sana Sana ni kujinunulia matatizo,/ ulemavu/ kifo kwa dar es salaam hakuna sehemu utaiendesha kwa Raha...

Dar es salaam ☺️

Labda ungekua miji Kama ujerumani pale Berlin, Munich, Vienna kule Kuna barabara maalumu za waendesha BAISKELI bila KUSAHAU uingereza miji ya London, Liverpool e.t.c
 
JumaTatu foleni pia zinakuwa nyingi..ukichanganya na huo ujenzi wao wa mwendokasi ndiyo
balaa kabisa

ova
 
Utaiendeshea wap sana Sana ni kujinunulia matatizo,/ ulemavu/ kifo kwa dar es salaam hakuna sehemu utaiendesha kwa Raha...

Dar es salaam ☺️

Labda ungekua miji Kama ujerumani pale Berlin, Munich, Vienna kule Kuna barabara maalumu za waendesha BAISKELI bila KUSAHAU uingereza miji ya London, Liverpool e.t.c
bila kusahau Amsterdam kwa wadutch.
Tutabanana humuhumu, baiskeli ina raha yake Dr.
 
Back
Top Bottom