Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Kwali watu wananjia nyingi za kulithi mali wew unapitisha miaka kweli
 
Wewe jamaa vyakula unavyokula bwana sijui unatoa wapi tu, sasa hizo sio nyama za mamba kweli?
Mie nimebaki nashangaa tu rafiki. Kama anavigoogle anajua mwenyewe nini anaandika sababu mi sivielewi hata ujue.

Na sidhani kama ni kweli mke wake anapika hiko chakula.
 
Mie nimebaki nashangaa tu rafiki. Kama anavigoogle anajua mwenyewe nini anaandika sababu mi sivielewi hata ujue.

Na sidhani kama ni kweli mke wake anapika hiko chakula.
Huyu Duke mwenyewe nimeshamshtukia anatafuta KIK tu kwa njia ya vyakula
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee!!

Nakweli kichefu chefu mimi siwezi kuangalia mara mbili hicho chakula
Umeonaeee. Tumbo inatakiwa lithaminiwe bana rafiki sio kila kitu kinawekwa.

Ila upande wa pili itabidi niwasiliane na mleta uzi aniunganishe na mkewe anielekeze nije nikupikie siku moja. [emoji85] [emoji85]
 
Ishu sio mafuta pekee... naona kuna nyama type mbalimbali. Utumbo, kitimoto, samaki, figo n.k. nadhani kuna ujumbe anakupa. Labda we mwembamba sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom