haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa sababu ya mwanamke.
Kuna watu tuna personality zetu, wadada wakituona tu wako hoi, na kwa kitendo cha kunikolomea mbele za watu ili anidhalilishe ndio amenichafua kabisa, nitamchapia kweli.
Anyway, sometimes you only need natural blessings like handsomeness to defeat the tyrant.