Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Yaani niende tu mlimani city nikapige picha aisee hayo siyo maeneo yangu yakujidai kwanza siko Dar [emoji38][emoji38] aliyepaswa kupiga aliyotoa riport maana alikuwa maeneo hayo alipaswa kuleta na picha kukamilisha storyNingekuwa wewe ningeenda kuona na au kupiga picha ili kukamilisha story[emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo wangezubaa hata viwanja vya mnazi moja angevisukumaAulizwe Mwinyi, aligawa viwanja vyote vya wazi kwa ajili ya kujenga misikiti.., sasa hivi hata pa kusherehekea iddi hakuna tena..
Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Wabongo wangezubaa hata viwanja vya mnazi moja angevisukuma
Hio Jamii Ina tamaa Sana ya pesaMarehemu Kitwana Kondo alishauza mnazi mmoja kwa wahindi na paliishazungushiwa mabati ya kuanza kujenga Lowassa akiwa Waziri mkuu aliipiga stop hivyo kupanusuru hapo Mnazi mmoja!!
[emoji16][emoji23][emoji23]eti Numbisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh aiseee
Ustaarabu wa kiarabu wakti hii ya Eid Mubarak!Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
Au sioBila picha hizi ni propaganda
InbornUsafi ni tabia.