Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

Ningekuwa wewe ningeenda kuona na au kupiga picha ili kukamilisha story[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani niende tu mlimani city nikapige picha aisee hayo siyo maeneo yangu yakujidai kwanza siko Dar [emoji38][emoji38] aliyepaswa kupiga aliyotoa riport maana alikuwa maeneo hayo alipaswa kuleta na picha kukamilisha story
 
Ukweli Tz kuna so many opportunities lkn watu wapo very blind hasa wao kazi yao kulaumi tu maisha magumu hamna hela blah Blah...nyingi Tz watu wamekuwa kama mazezeta watu wameshindwa kuji organised na kuwa creative na kutengeneza hela siku za sikuku na weekend.

Huyu mwingine anaona MLIMANI CITY ndio kitu kikubwa sn wanatakiwa watu wenye uwezo tu wawepo hapo akili yake imeishia hapo hao ndio Wa-Tanzania akili zao zimejaa Ujinga Ujinga tu mfano mwingine ulio hai Mtu mfanyakazi anachukua hela ya mkopo cash zaid ya Million 20 anakwenda kununua gari la kupeleka kazini.
 
Yaani unalalamikia watoto wadogo kukosa ustaarabu, sababu watoto ndio tabia zao hizo au ni chuki tu za kidini?
Tambua nchi sio ya kwako peke yako na mlimani city sio kwako just get over it.

This is utterly primitive.
 
Unawezaje kuwatenga waafrika na hulka ya kupenda uchafu?

Sisi ndio wakojoa hovyo au watupa taka hovyo hadi tuandikiwe usikojoe hapa au usitupe taka hapa...
 
Marehemu Kitwana Kondo alishauza mnazi mmoja kwa wahindi na paliishazungushiwa mabati ya kuanza kujenga Lowassa akiwa Waziri mkuu aliipiga stop hivyo kupanusuru hapo Mnazi mmoja!!
Hio Jamii Ina tamaa Sana ya pesa
 
Back
Top Bottom