Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Yaani niende tu mlimani city nikapige picha aisee hayo siyo maeneo yangu yakujidai kwanza siko Dar [emoji38][emoji38] aliyepaswa kupiga aliyotoa riport maana alikuwa maeneo hayo alipaswa kuleta na picha kukamilisha storyNingekuwa wewe ningeenda kuona na au kupiga picha ili kukamilisha story[emoji23][emoji23][emoji23]