Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Showcase ina maua maua apo kuna demu Anaishi au upo kwa Demu wako usitutie Kamba.Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya coriander nyanya 3, hoho ya kijani na karot
Hoho na karot nimekata vipande vikubwa kidogo na kuku niliwaweka kwenye mafuta kwa dakika 2
View attachment 3145479
Majani ya coriander nilisaha pamoja na nyanya kwenye blender
View attachment 3145480
Viungo nilivyotumia ili kuleta radha nzuri kwenye chakula
View attachment 3145483
Mchele niliuosha kisha nikakausha maji
View attachment 3145484
Wali wa nazi upo tayari kuliwa umekauka vizuri kabisa
View attachment 3145486
Mboga yangu tamu ipo tayari kuliwa ni tamu mno, yenye radha na inanukia
View attachment 3145487
Nacheki movie ya atlas 2024 huku napiga msosi mtamu na wenye radha nzuri
View attachment 3145489View attachment 3145497
Broh mimi ni wa pwani wali nazi ni asili yetuKuna mdau hapo juu kauliza mwanaume unapikiaje Nazi ? Au unatamani kuwa Zubeda Cheupe?
Ila kafuta comment yake
Babu una vigezo vyote vya ubachela bahat mbaya nimekulia familia yenye wadada tupu sijui Ata kuchemsha Chai mkuu🤣mwana unatoa sotojo kabsaLeo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya coriander nyanya 3, hoho ya kijani na karot
Hoho na karot nimekata vipande vikubwa kidogo na kuku niliwaweka kwenye mafuta kwa dakika 2
View attachment 3145479
Majani ya coriander nilisaha pamoja na nyanya kwenye blender
View attachment 3145480
Viungo nilivyotumia ili kuleta radha nzuri kwenye chakula
View attachment 3145483
Mchele niliuosha kisha nikakausha maji
View attachment 3145484
Wali wa nazi upo tayari kuliwa umekauka vizuri kabisa
View attachment 3145486
Mboga yangu tamu ipo tayari kuliwa ni tamu mno, yenye radha na inanukia
View attachment 3145487
Nacheki movie ya atlas 2024 huku napiga msosi mtamu na wenye radha nzuri
View attachment 3145489View attachment 3145497
Ila ni safi kuna maeneo vyakula vya migahawani ni gharama sana na ni vya hovyo endelea kulirusha mwenyewe unaokoa gharama kiasi flanBroh mimi ni wa pwani wali nazi ni asili yetu
Mzeya pika na mlenda wa nazi nije nichukue kwa akili ya kunyetukaz.....Kwa sotojo Hilo utaoa leo kweli 🤔
Nikilewa nitapika mkuuMzeya pika na mlenda wa nazi nije nichukue kwa akili ya kunyetukaz.....
Kakaangu nimekumiss adimu kama Tako la nyoka 😀😀Mzee naona umepika kuku wasio na WAZAZI.
Nipo ndugu yangu, mambo kuingiliana, kila nikipanga nije kudoea madikodiko, najikuta mambo mengi kuliko marehemu mengi mwenyewe..Kakaangu nimekumiss adimu kama Tako la nyoka 😀😀