Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Sina soko. Mimi ndiyo natafuta soko hapomaana yake una soko la embe ama?, lakini pia sipigi mishe hizo.
labda uzalishaji wa unga wa ugali (sembe).
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, nili wahi ona ule ujumbe wako wa kukaa Miaka zaidi ya 7 bila kupata kazi.
Kama mwanaume mwenzio, Ina niuma Sana. Hebu mzee wangu Ushimen ufike hapo maana baraka zako ni kubwa.