Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa mi napika zaidi yake ujue...Kwakweli hongera zake anajua kupika Hadi nimetamni iyo ndizi π
Sasa hujaniita jmn nione πSasa mi napika zaidi yake ujue...
Alafu mi ujawahi nipakulia masifa kama hayo πππππ
ππSawa pole na majukumuNipo ndugu yangu, mambo kuingiliana, kila nikipanga nije kudoea madikodiko, najikuta mambo mengi kuliko marehemu mengi mwenyewe..
Ahsante, mate yamenijaa kwa uchuπππSawa pole na majukumu
Karibu sana ukipunguza hayo mambo mengi
Kapikeππ
Kwakweli atuambie vizuri jmn anajua had paprika π€£π€£Ulikua unamkaribisha mtoto wa watu ghetto
Hizo chaga chini ya jokofu huwa zina kazi gani?.Niliagiza china kupitia pinduoduoView attachment 3145520
πHalafu binti hajatokeaKwakweli atuambie vizuri jmn anajua had paprika π€£π€£
Ubaya ubwela inaitwaπHalafu binti hajatokea
ππUbaya ubwela inaitwa
Mbaguzi tuu ππππSasa hujaniita jmn nione π
Boom limetemaLeo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui la nazi, paprika, black pepper, curry powder, soya source, pilipili ya kuwasha ya unga, majani ya coriander nyanya 3, hoho ya kijani na karot
Hoho na karot nimekata vipande vikubwa kidogo na kuku niliwaweka kwenye mafuta kwa dakika 2
View attachment 3145479
Majani ya coriander nilisaha pamoja na nyanya kwenye blender
View attachment 3145480
Viungo nilivyotumia ili kuleta radha nzuri kwenye chakula
View attachment 3145483
Mchele niliuosha kisha nikakausha maji
View attachment 3145484
Wali wa nazi upo tayari kuliwa umekauka vizuri kabisa
View attachment 3145486
Mboga yangu tamu ipo tayari kuliwa ni tamu mno, yenye radha na inanukia
View attachment 3145487
Nacheki movie ya atlas 2024 huku napiga msosi mtamu na wenye radha nzuri
View attachment 3145489View attachment 3145497
Naona chuzi limesiliba wali wote...Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha