Ebanaaee kweliii, nimemuona aseeAcha kupuuza mambo wewe nilitaka kumpiga pic siku muona tena make kama alinihisi labda nimemuhisi sio kawaida badae kugeuka kutazama ili nipige pic kwa mbele yake sikumuona tenaView attachment 2351798View attachment 2351799
Sikujua kama upo majuu mkuu. Lakini hata huko si mtu unaweza ukakurupuka tu kutoka home bila kutia cho chote tumboni? Au huwa mnakaguliwa kabla hamjatoka majumbani ili kuhakikisha kuwa mmekula?Nani alikwambia ulaya kuna njaa ya chakula?
We jamaa wewe!!!!!!Ebanaaee kweliii, nimemuona asee
Mkuu kiukweli yule hakua binadamu wa kawaida alafu macho huoni kiini cha macho yupo kasimama pekee haongei na mtu yaani kama vile hataki kujichanganya wala aguswe na mtu yeyote nikahisi nilivoenda mbele ili kupata position nzuri ili nipige picha kwakuibia nilivo geuka ili nipige pic full pic sikumkuta tenaSikujua kama upo majuu mkuu. Lakini hata huko si mtu unaweza ukakurupuka tu kutoka home bila kutia cho chote tumboni? Au huwa mnakaguliwa kabla hamjatoka majumbani ili kuhakikisha kuwa mmekula?
Poleni kwa msiba huo mkubwa. Alien lazima wahudhurie maana Eliza inasemekana alikuwa ni mmoja wao. Wamekuja kumchukua labda!
Mapusha wawe wanaangalia watu wa kuwwauzia bangi, hawa ndio wanatucheleweshea isihalalishwe mapema, kwa kuwauzia watu chenga.Mswada wa kuhalalisha bangi upitiwe tena....
Umemuona alien hapo juu? dah hayà mambo yanashangazaWe jamaa wewe!!!!!!