Leo msibani nimemuona alien

Leo msibani nimemuona alien

Mkongo 1

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
302
Reaction score
352
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu make huoni jicho Lake giza na sikio shape yake sio kawaida na pua pia nikahisi ndio wale
 
Mswada wa kuhalalisha bangi upitiwe tena....
Acha kupuuza mambo wewe nilitaka kumpiga pic siku muona tena make kama alinihisi labda nimemuhisi sio kawaida badae kugeuka kutazama ili nipige pic kwa mbele yake sikumuona tena
Screenshot_20220909-193557_Gallery.jpg
Screenshot_20220909-193454_Gallery.jpg
 
Nani alikwambia ulaya kuna njaa ya chakula?
Sikujua kama upo majuu mkuu. Lakini hata huko si mtu unaweza ukakurupuka tu kutoka home bila kutia cho chote tumboni? Au huwa mnakaguliwa kabla hamjatoka majumbani ili kuhakikisha kuwa mmekula?

Poleni kwa msiba huo mkubwa. Alien lazima wahudhurie maana Eliza inasemekana alikuwa ni mmoja wao. Wamekuja kumchukua labda!
 
Mkuu kiukweli yule hakua binadamu wa kawaida alafu macho huoni kiini cha macho yupo kasimama pekee haongei na mtu yaani kama vile hataki kujichanganya wala aguswe na mtu yeyote nikahisi nilivoenda mbele ili kupata position nzuri ili nipige picha kwakuibia nilivo geuka ili nipige pic full pic sikumkuta tena
 
Back
Top Bottom